Wakubwa habari za saiz , juzi nimeenda kununua pikpiki nikashangaa napewa kadi kama copy hivi , namuliza vip mbona hii nikama kopy yani nyeupe kabisa , nikambiwa saiz TRA kadi zinatoka plain nyeupe hivyohivyo tofauti na zamani zilikuwa zinatoka kama za gari tu , naombeni kujua hii kitu ni kweli ??