Recent content by matiko sibora wambura

  1. matiko sibora wambura

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika

    Katika kipindi Cha miaka 4 ya Serikali ya RAIS Samia Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  2. matiko sibora wambura

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ni ujenzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Songwe ya Dr. Samia Suluhu Hassan. Jengo linaloonekana ni jengo la madarasa ya kisasa kabisa. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  3. matiko sibora wambura

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Nieleweshe nifahamu Siasa ni nini ? Alafu fananisha na content unayoiongea
  4. matiko sibora wambura

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
Back
Top Bottom