Recent content by maths90's

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    msiwe na hofu madogo mambo ndo hivyo hata sisi wa mwaka wa pili ilikuwa sh.193400 imeshuka mpaka sh.169000 hiyo ni kwa sababu ya bima ya afya.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    tution fees wanalipa serikali ila ww unatakiwa kulipa direct cost (207000 tsh) ila mkija kuripoti uwe na hela ya kutumia kama mwezi hivi.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    wa special diploma tution fee haulipi ila direct cost unalipa, angalien wasije kuwafanyia kama walivyo tufanyia sisi mwaka jana..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    karibun sana mm naingia mwaka wa pili special diploma (SDE) tution fee mnalipiwa na serikal ila direct cost juu yenu. ila cjajua utaratibu kwa ambao hawajaomba mkopo?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Waliopata admission later udom tusaidiane

    vp kwa wale wa special diploma ambao hawajaomba mkopo utaratibu wao unakuwaje?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mbona sioni waliopangiwa vyuo vya ufundi na je, waliochaguliwa wameanzia GPA ya ngapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mbona sioni walio pangiwa vyuo vya ufundi
  8. M

    JamiiForums Tanzania UDOM kinanuka Jumatano

    kesho ndio kesho lazma kinuke udom. Mungu akubariki Waziri Mkuu wa social and humanities udom.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    masomo bado ayajaanza hapa tunakula mazoezi ya kupanda na kushuka ktk mabwen yao 2.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    nilikuwa nazan utan kumbe kweli kwa hyo maela yote nmeweka takon acheni ntumie mpaka boom likuje nmeponda raha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    vp na pakufikia ni social ama education
  12. M

    JamiiForums Tanzania Usilipe direct cost

    unayosema ni kweli mwana vp kuhusu na tution fees
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    mlio timba leo chuo tunaomba m2juze kinachoendelea pande hzo
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    hata mm mwana nadhani jpili ndio ntatimba chuo kesho ndo nafanya utaratibu wa pesa zao
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa diploma maalumu UDOM

    yan mm mpaka sasa cjajua hatma yangu ya kuripoti hyo kesho maana hela bado cjatuma hadi sasa.
Back
Top Bottom