Tatizo wabongo mumezoea kilakitu serikali uwafanyie,iwajeengee mashule,watoto wasome bire,iwagawie mlion 50,iwape misaada ya vyakula, yani kilakitu bure tuuuuu,mm naona magu kawakomesha msiopenda kazi mtalaumu Sana'a kujakufika 2025 kama hamtabadilika mtakuwa maombaomba