Recent content by Mathew Kiluma

  1. Mathew Kiluma

    Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    kimsingi hili hali kuhusu, ila kama unahisi kuwa concerned usi influence maamuzi yake bali jaribu kutambua kwanza malengo yake ki-career, ndio itakusaidia wewe kujua anachohitaji kwasasa,,. na kwasababu umeomba ushauri public naweza kusema kijana ana nafasi nzuri ya kukua akiwa Good neighbors...
  2. Mathew Kiluma

    Natafuta kazi katika Field ya GIS au Mazingira

    Mimi ni kijana na mkazi wa Arusha mjini kwa Sasa, nimuhitimu wa shahada ya geography na mazingira 2018, Nina uzoefu wa kufanya kazi kama GIS Analyst kwa miaka karibuni 5, mbali na Hilo Nina ujuzi/skills za EIA, M&E na research. Naomba mwenye connection ya kazi akaribie nipo tayari pia kufanyiwa...
Back
Top Bottom