nina imani na Rais magufuri kwa asilimia kubwa sana
haya ya bandari ni fomula kupandisha uchumi kwanza ndio amefagia nyumba vyombo vinaaza kuingizwa kwa utaratibu tena vile ambavyo ni salama tu vibovu vyote ametupa nje muwe wapole mtafuta hi tu
Rais hivo hivo wanaangalia tu maneno yanayowahusu wao binafs mbona mengi mema uliyoyaongea ya ya maendeleo kwa wananchi hawaongei.
Watanyooka tu walizoea hao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.