Kwa heshima ya Chombo kama Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kutumiwa zaidi kama ni jukwaa la malumbano ya itikadi za siasa za kichama inasikitisha na inatukera sana Watanzania! Nchemba kwa heshima na nafasi ndani ya chama chake,kumwita Mh. Mbunge mwezake tena aliyechanguliwa kwa kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.