Japokuwa sio mtaalamu wa hizi mambo ila niliona kabisa kwenye screen Bado Kuna utofauti au negative camber haijaisha yote gari ilikuwa inavuta upande mmoja so nikacheck tyre pressure nikaona Kuna sehem inasoma 30 na mwengine 60 so nikajaza vizuri mbele (35) nyuma (40)
Juzi nilibadirisha Wishbone, CV joints brake pads, Top mount kwenye hii Suzuki swift baada ya kupata ushauri kutoka kwa wadau WA jamii forum baada ya hapo kesho yake nikaipeleka kufanya wheel alignment kwenye servicebay ya Kituo Cha mafuta chenye jina kubwa sana pale Ununio jamaa alikuwa...
Kuna duka moja Kariakoo wanauza hivi vifaa kwa hii bei
CV Joint 25,500/- kwa pisi moja na mbili 40k
Ball joint 15k kwa pisi mojana mbili 30k
Je ni sahihi kweli au ndio fake?
Kuna jamaa wanajiita winners wanauza spear parts hizi kwa hii bei je ni sahihi kweli?
Ball joint 15,000 kwa pisi 1
CV joint. 25,500 kwa pisi moja kwa mbili 40k
Naona kama bei chini sana au ndio mdosho
Nimekwenda garage mbili za Total (Service bays) kwaajiri ya check up
Ya kwanza wameniambia kuwa nibadirishe hivi vitu Ball joint moja ya kushoto, CV joint moja na kufanya wheel Alignment
Garage ya pili wameniambia Ball joint ni ya kukaza tu na CV joint hainashida Wala bearing hainashida pia
So...
Habari wadau ninachangamoto kwenye Suzuki swift nikipaki sehem iliyoflat kama kwenye Rami au zege tairi zinaonekana kama Zina matege ya ndani na nikikatakona tairi ya upande wakushoti inapinda kama unataka kuchomoka na tairi inakwangua Sway bar sijui ndio stabilizer na Kuta ya bodi ya gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.