naombeni msaada wenu wana jamii
mimi ni mwanafunzi niliyehitimu kidato cha nne mwaka jana(2012) na kupata matokeo ambayo naamini kwa asilimia mia moja(100%) siyo yakwangu, si kwamba nimepoteza imani na uogozi wa wizara tu; bali hata mchakato mzima mpaka kupelekea aina hii ya matokeo kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.