Recent content by matambalya1

  1. M

    NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Mwaka mbona me huu mwaka wa nne naambiwa bado mwaka juz niliambiwa machine mbovu nkasubiri mwaka mzima wa jana naenda leo naambiwa bado hakijatoka yani dah hii serikali yetu sijui kama inatambua hili ni tatzo kubwa au inafanya makusudi ok nikama tunajipga wenyewe risasi mguuni
  2. M

    NIDA kuna uzembe, mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho cha Taifa

    Nida Kuna uzembe mkubwa sana huu mwaka wa nne nafuatilia kitambulisho changu kila nikifika nawambia a bado hakija toka ipo sawa hii au umekuwa deal ku print kitambulisho ndo ichukue more than four years
  3. M

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa January Makamba kuwa Waziri wa Mazingira; yeye asema ameyapokea mabadiliko kwa moyo mweupe

    Kazi kweli kweli kuna jamaa alitaka bashe awe waziri wa mambo ya uchumi mwngne akasema kwa jins anavyosemwa soon atapata uwaziri naona kapata unaibu ila wa kilimo sasa bashe na kilimo WAP na WAP na mliosema wasoma....i hawapaswi gewa uwaziri nan kasema we sifia tu nasubiri chek clip za bashe...
Back
Top Bottom