Ukilinganisha kwa mfano Dakitari, Engineer or mtalaamu yeyote ayelisoma degree baada kupata diploma ya miaka 3 anakuwa ni mzuri sana 10X kuliko huyo aliyepata Degree direct kutoka O-level, lkn kama anampango wa kusoma politics bora apitie advance lkn awe makini sana ubora wa shule atayokuwa...
Anaweza kuonda lkn afate utaratibu wa utumishi wa umma maana moja ya taaratibu za utumishi wa umma ni kutoruhusu wafanyakaji wenye vyeo vidogo kuhama au kuomba kazi kwingine''Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa...
ok,
na kozi hizi zinazotolewa na Tanzania Aviation University College www.tauc.ac.tz Tabata Magengeni, zinatolewa gharama gani. Mwenye ufahamu naomba anisaidie?
naomba mwenye ufahamu wa gharama za
kozi ya urubani zinazotolewa pale United
Tanzania Aeronautics College
(www.utac.ac.tz) - Airport Dar es salaam .
Ktk matangazo yaliyo kwenye website
hawajaainisha gharama za masomo
hayo.Pia je kuna vipindi vya jioni yaani
evining classes, ili nikachukue...
Naomba mwenye ufahamu wa gharama za kozi ya urubani zinazotolewa pale United Tanzania Aeronautics College (www.utac.ac.tz) - Airport Dar es salaam .
Katika matangazo yaliyo kwenye website hawajaainisha gharama za masomo hayo.Pia je kuna vipindi vya jioni yaani evining classes, ili nikachukue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.