Muda mwingine najiuliza hivi watanzania tumekuwa na laana ya aina gani maana inapofikia wakati wa kufanya maamuzi ya msitakabali mzima wa nchi yetu na jamii ya watanzania kwa ujumla wengi wetu husahau matatizo yote tuliyokumbana nayo kwa siku za nyuma.Matatizo hayo ambayo muda mwingi huwa ni...
nawatakia kila la heri UKAWA kwa uteuzi mzuri wa mgombea urais kwan nyie ndye wat pkee kwa kuivusha Tanzania ya leo na siyo kama watu wengine wanavyoanza kujipa matumaini kwenye giza ilyotanda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.