Recent content by masters

  1. M

    Fikra za Sankara, Magufuli, Nyerere, Malema na Gadafi zaibukia kwa Ibrahim Traore

    labda ndio maaana hawapo nasi maaana ukionekana unapenda rasilimali utagombana na wengi. isikuume sana rasilimali za bara la afrika zilianza kuchukuliwa kuanzia karne ya pili ilipo fika karne ya 15 ndio uchukuaji wa rasili mali kutoka bara la afrika ulizid zaid mpaka karne hii 21 zinachukuliwa...
  2. M

    Mkurugenzi wa NHC aiomba Serikali iruhusu wageni kumiliki Ardhi ili kukuza uwekezaji

    kumiliki ardhi tena!!!!wawekeze tu kwa nn wanataget kumiliki ardhi akili zako ni usumbufu na mzigo kwa watanganyika wajao waruhusu wamiliki uone hayo makilometa unayo sema yapo Tanzania kwa sasa kwasababu wawekezaji hawalusiwi kumiliki, ndio maana yapo wawekezaji wanahera nyingi na wanapewa...
  3. M

    Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    yani mwabukusi ndio amekua na sifa za kua karibu na raisi maana anaonekana ni msaada kwa taifa mwanasheria mkuu hajui kitu na mkuu wa mawazir nae hajui kitu kuhusiana na utaalamu wa mikataba hawajui ni kweli usijefikil wanajifanyisha hawana utaalamu wa kuoverlook contract. yaaani sio wataalamu...
  4. M

    Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

    Jenga hata nyumba ya mil 30 pangisha hata kikiwa chumba seble chumba laki kwa mwezi weka choo na jiko ndani halafu ndio piga hesabu laki gawanya kwa 40mil
Back
Top Bottom