Kuchukua fomu unaweza kuchukua maana unalipia na unatunisha mfuko wa chama …..ila kupita sahau huwezi kataaa pesa za bure…..ndo maana akina mwijako kwenye ubunge wamechukua pia hakuna aliekatazwa ni pesa inaingia chamani ila kupata wasahau
Hivi siasa ni nini? ......kukemea watu kupotezwa,kuuwawa na kunyanyasa wananchi ni kupiga siasa. .......basi kama kukemia ni siasa basi hazitufai TZ hizi siasa
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...

Habari, ninamasikitiko kwa jinsi ya zoezi la interview linavyoendeshwa huko Arusha.
Kuna issue ya age limit 25 kwa diploma na degree 30,mfumo wa utumishi(ajira portal) umechuja kulingwna na age labda 25 sawa sasa watoto wameitwa baada ya miezi miwili au mitatu before alikuwa 24 wakati anaomba...
Leo Januari 28 magari yameanza kusimamishwa Ubungo intererchange.
Shida sana nimepita kwa mbinde mpaka mlandizi ni foleni, magari yamesimamishwa kwa muda mrefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.