Recent content by Dafugwadu

  1. D

    Kwanini ukitoka polisi/jela ndugu wanakwambia uvue nguo zako ili zichomwe moto

    Tatizo ni kunguni na chawa waliojazana mule ndani, unajikuta unaleta mbegu home.
  2. D

    Anthony Mavunde: Watu 34 wamehodhi eneo lenye ukubwa mara 12 ya Dar es Salaam

    Ila ccm kushiba kwao ni kitendawili nadhani huwa wanakula na kun*ya kama viwavi jeshi.
  3. D

    Mtoto ambaye hataki kula chakula chochote

    Vizuri sana kwa klm kuna majani yanaitwa mkunde pori yatafuteni hayo chukua mizizi yake safisha chemsha weka maji hata nusu lita. Ikishapoa mpeni mtoto kijiko kidogo asubuhi mchana na usiku kwa muda wa siku tatu halafu tutaambiana hapa.
  4. D

    Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Mimi simu zikiingiliana huwa naangalia ipi ina umuhimu zaidi kama hii ya pili ni muhimu napokea halafu wewe wa kwanza nakusubirisha.
  5. D

    Maumivu yanayohama mgongoni na kiunoni

    Utu uzima huo unakunyemelea yaani kwa mwezi unalala na mwanamke mara moja?
  6. D

    Wakali wa Itifaki, mbona zulia la bluu bahari limetumika badala ya zulia jekundu kwenye ziara ya Rais Samia Uturuki?

    Mimi najua nje ndani kuhusu Rais wa turkey kuweka hilo kapeti la blue kwa mgeni wake lakini siwaambii.
  7. D

    The night of scary

    Acha ufuala we kenge nini? nani unamuandikia huu uchafu?
  8. D

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Watu wanaamka asubuhi wanatoa lock kwanza kabla ya kutia kitu chochote tumboni
  9. D

    Waziri Silaa aagiza Mwenyekiti wa Mtaa akamatwe kwa kuuza eneo la Mchina akijua kafa na Corona

    Hiki kipindi hata ukisikia mtu anayekudai kafariki itabidi hadi uhakikishe je ni kweli?
  10. D

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Msumi ipo mbezi nani huyo anasema ipo kibaha?
  11. D

    Lori lagongana na Coaster uso kwa uso, watu tisa wafariki dunia

    Dah! Mtu unawahi kuamka alfajiri ili kuutafuta mkate halafu ghafla unarudi msiba!! Mke na watoto wanajua baba akirudi jioni leo mambo safi daah inauma hii..
  12. D

    Kama unaamini kazini kwako una marafiki subiri uachishwe kazi

    Siku hizi urafiki umeuliwa na uchawa.
  13. D

    Utando wa buibui machoni au usoni

    Aliwazalo mjinga?___.
  14. D

    Hizi ni baadhi ya sifa za watoto wa 2000

    Kumbe ndio maana siku hizi hatusikii matukio ya uporaji wa kutumia silaha za moto? NB: Kwa mara ya kwanza mimi kupiga kura ilikuwa mwaka 2005 na siku ya uchaguzi ndio nilimpata mtoto wangu wa kwanza, kwa kifupi tu mimi na yeye miaka miwili hii hatuivi kabisa kapo chuo kananguruma basi kanajiona...
Back
Top Bottom