Recent content by Master of the field

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

    Kama Taifa tujiulize kweli kwa utaratibu wa kuwapa majangili dhamana, huko mbeleni tutakua tunaenda kenya kuangalia tembo na twiga maana naona serikali haina nia ya dhati kupambana na ujangili. Mtu unamkamata na pembe za kutosha za tembo, unampeleka mahakamani mwendesha mashitaka anasema...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Washtakiwa kesi ya Uhujumu Uchumi waachiwa kwa dhamana

    CHEZEA MLUNGULA WW...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu ingilia kati hili la Lema

    HAKI HUINUA TAIFA
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Actus ina maana kitendo au vitendo bila dhamira; Mens Rea ina maana DHAMIRA bila kitendo/vitendo. Haya ni maneno ya kilatin. je Rais wetu katika hii mizani yuko wapi? anaongoza kwa matendo au Dhamra? naomba kuwasilisha.
Back
Top Bottom