Recent content by Mastabata

  1. Mastabata

    Msaada: Naomba kujuzwa shule za watoto wenye mahitaji maalum zilipo maeneo ya Morogoro

    Nimeshaenda hospitali wakasema ni usonji, nikawa nampeleka kwa ajili ya speech therapy, ila bado hajakaa sawa, nikafikiri labda kwa shule inaweza kumsaidia maana atakuwa na wenzake kule.
  2. Mastabata

    Natafuta shule za mahitaji maalum hasa Usonji kwa ajili ya mtoto wangu

    Hellow members, naomba kufahamishwa shule zilizopo dar zinazopokea watoto wenye uhitaji maalum, hasa usonji. Nina mwanangu ana hyo shida
  3. Mastabata

    Msaada: Naomba kujuzwa shule za watoto wenye mahitaji maalum zilipo maeneo ya Morogoro

    Hellow Mr, naomba unifahamishe shule hzo zilizopo Dar. Mwanangu haingei sasa ana miaka mi5. Tafadhali naoma nisaidie. Naishi Kinyerezi.
  4. Mastabata

    Wapi kumbi za Night Club, Jiji la Tanga

    Naomba namba ya huyo dereva tax. Nawahitaji boss wangu.
Back
Top Bottom