Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua.
Akitokea mmoja hajalipa na kaacha kutumia laini mnahukumiwa nyote, is not fair na inakera sana mpka tunafkiria kuhama mtandao wao.
Hili swala la Tigo Na huduma yao ya postpaid bundle hatuitaki waiondoshe kwasababu ni kama aina flani ya kum-blackmail mtu.
Imagine unaunganishwa kwa kikundi na watu hata usiowajua then asipolipa mmoja wao nyote mnazuiwa kutumia laini kweli!
Wasipoangalia mitandao ipo mingi watapoteza wafuasi...
PC yangu haikubal kuapdate virus protection.inaload tu ila haianzi kuapdate au inahitaji network nzuri ya kutosha? Au nini shida?
Ona hako kaclip hapo chini👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.