Ukiangalia vizuri matumizi ya WhatsApp,X,inst Or YouTube ni platform ambazo ni bure but creator wananufaika kw a kadiri ya wingi wa matumizi ya watu kujiunga na platform hivyo hupata faida kw a matangazo nk so kunufaika ni kadiri watuamini wanavyokuwa wengi kwenye platform na utangazaji wa...
Hapa kuna haja ya watanzania kutafuta suluhu ya moja kwa moja hasa kwa kutumia bunifu zaidi kama nchi zilizoendelea, udalali sio sana kama tinavyodhani. Mfano mtu akitaka kutafuta nyimba ya kupanga anaingia kwenye website au Apps zinazoaminika kisheria anapanga bila dalali yaani yeye na mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.