Recent content by masokolinda

  1. M

    Ni nani ataibuka mshindi wa mchuano kati ya wahindi waliopo Dangote na Uhamiaji Mtwara?

    Kweli kabisa, maana tunao watz wengi wenye sifi za kufanya kazi na kila siku dangote wanatangaza kazi kumbe nafasi hizo wameshakaba wageni.......watz tubadilike....
  2. M

    Ni nani ataibuka mshindi wa mchuano kati ya wahindi waliopo Dangote na Uhamiaji Mtwara?

    NI NANI ATAIBUKA MSHINDI WA MCHUANO KATI YA WAHINDI WALIOPO DANGOTE NA UHAMIAJI MTWARA? “Kuna Bwana mmoja mwenye Makengeza alikuwa na Kasuku wake. Na Kasuku huyo pia alikuwa na makengeza! Bwana huyo alikusudia kumuingiza Kasuku wake ndani ya tundu lakini kwa sababu ya makengeza yake akamuweka...
Back
Top Bottom