Recent content by masisi

  1. M

    Harbinder Singh Sethi: A tycoon with dubious Kenyan past got entangled in Tanzania’s mega scam

    How tycoon with dubious Kenyan past got entangled in Tanzania’s mega scam By Paul Wafula and Hilal Sued | Sunday, Jul 2nd 2017 at 09:04 Share this story: Few people received top dollar construction contracts from the Kenyan government in the 1990s like business tycoon Harbinder Singh Sethi...
  2. M

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Kaka gharama za kujenga kinu ni approximately USD 1Billion. tusipotoshe umma juu ya hili guys.
  3. M

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Huyu ni mtaalam wa madini lakini sio mtaalam wa uchumi kwa hili swala kwa sasa tunahitaji mtaalam wa uchumi ndio atoe ushauri maana kuhusu madini kila kitu kipo wazi kwa sasa.
  4. M

    Vita dhidi ya Dawa za Kulevya: Maswali magumu na muhimu

    Ukipata Majibu yake itatusaidiaje kumaliza tatizo la madawa ya kulevya. au umekaa tu unasubiri vitu flani vitokee ili uhoji.
  5. M

    Zitto: Kutajwa kwa Mbowe ni siasa tu,Makonda atabeba msalaba wake

    People they busy saying kwamba MAKONDA hana ushahidi, who said so kwamba hamna ushaidi TOENI HUKUMU MWISHO WA KESI. MAKONDA hajakurupuka labda wewe mtoa comment ndio umekurupuka
  6. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Mimi kama mimi, kwangu MAKONDA is a true hero ni mtu mwenye uthubutu. Alichokifanya ni watu wengi tena wenye nafasi nzuri sana wameshindwa kufanya. Natambua kuna mahali amekosea BUT sitegemei kama kuna mwanadam anaweza kufanya kitu in perfect way 100%. Leo hii watu wameishia kuangalia ni wapi...
  7. M

    Maajabu ya Tanzania: Polisi wanatutangazia makusanyo, TRA wanaficha

    Kila mtu anamuonesha mkuu wa kaya kua anapiga kazi
  8. M

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Mmmhh mkuu tupo njia moja ila mahali pa Mungu jaribu kua na choice of words
  9. M

    ITV jamani, mmenunuliwa?

    Kwa kiasi flan ITV wanajitahidi naona wanaiweka mwisho ili watu waangalie taarifa ya habari mpaka mwisho
  10. M

    Utafiti: Lowassa ateka media zote Tanzania na nje ya nchi

    Mkuu DONT GO AWAY umenigusa kwenye hizo location
  11. M

    Hongera Lowassa ndani ya NEC na Mkutano Mkuu kwa kukataa mapendekezo ya Apson na Kingunge

    Umeanza vizuri sana nikajua unaleta hoja ya maana kumbe ndio wale mnaotaka ukuu wa wilaya. Msalimie sana MEMBE mwambie tunamsubiri kwenye maelezo ya fedha zake hapa hotelini.
Back
Top Bottom