Recent content by Masilahi ya Taifa

  1. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    MOD Naomba huo uzi mpya wa "Lowassa Alichagua kampuni FAKE 2 zipewe Tenda ya Umeme APGUM na Richmond " Uachwe peke yake. Naona haraka haraka mume u merge kwa manufaa ya nani ? Naombeni uwekwe peke yake ili tuongeze na hard evidence.
  2. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Kwenye sakata la Richmond Government Negotiating Team (GNT) iliyokuwa ikiongozwa na mgombea wa Urais wa UKAWA Ndugu Edward Ngoyayi Lowassa ili chagua kampuni mbili FEKI kutoka kwenye nane(8) zilizoomba kutengeneza umeme. Kampuni FAKE zilizochaguliwa kwenda kwenye stage ya mwisho ni APGUM na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa amgaragaza Magufuli kwenye "media coverage"

    Umiliki wa Magazeti Tanzania. 1. Nipashe, Gurdian- R Mengi ; Team Lowassa 2.Mtanzania Rai - Rostam Aziz & Lowassa 3. Tanzania Daima- Mbowe 4. The Citizen & Mwananchi - Rostam Aziz - Minority Shareholders 5. Majira - Mbuguni Close family Friends of Lowassa 6. Channel 10 - Rostam Aziz -Mmiliki...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa, Lowassa, Lipumba, Zitto, unganisheni nguvu, ushindi ni wenu sasa

    Baada ya kazi ya Kizalendo iliyofanywa na Kamti kuu. Sehemu pekee aliyobakiza, Mtaalamu wa kuligawa Taifa na FISADI( Lowassa ) ni UKAWA, ACT au NCCR-Mageuzi. Nimeiweka NCCR peke yake maana inaweza kujitoa UKAWA kumtengenezea Daraja Lowassa. Mtaka Uraisi huyu aliyepata Alama za kuwa classified...
  5. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Leo ni siku mhimu kuzuia wanaomendea Kinyerezi 1,2,3 ..... Ni siku ya Misingi ya Taifa letu kuzaliwa mara ya pili.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    Kama alishindwa kujisafisha yeye mwenyewe pale Arusha ni kwanini tumwamini ana uwezo wa kusema kingine kipya?. Na kama angekuwa anachukia Rushwa ya ESCROW pale mbele asingampanga mama Tibajiuka.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    Kwahiyo sehemu yenye Ujambazi dawa yake ni kupeleka Jambazi Sugu lililo bobea?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    Mwenzio naongelea UCHAFU wa Lowassa na Makuwadi wake. Na wewe unaruhusiwa kuwaongelea hao wahcafu wengine,na uambatanishe na ushahidi.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    Upo sahihi kabisa kwamba na yeye anaruhusiwa kuwa na mgombea wake.Tunaweka Record sawa tu kwamba SIO MSAFI.Na huku kwa Lowasa panamfaa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

    "The fight for justice against corruption is never easy. It never has been and never will be. It exacts a toll on our self, our families, our friends, and especially our children. In the end, I believe, as in our case, the price we pay is well worth holding on to our dignity". Frank Serpico...
  11. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Habari za ndani ya Kambi ya Lowassa zimenitonya kwamba; Sasa wale wagombea wanne waliotakiwa kujitoa kupisha njia,kuna uwezekano mmoja wao akwa ni Chagua la Genge hili la Mafisadi wa Mali za Taifa. TUWAZUIE kwa hali na Mali.
  12. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Siku zote ukitaka kujitoa ufahamu, unajiongelesha maneno ya hovyo hovyo yenye radha ya Busara.Hatukukatazi kumwamini Lowassa ila tunasema ni FISADI.Kwenye sifa za Rais tunayemhitaji;Kuchukia ufisadi ni sifa yenye alama 40% ya mjumuiko wa sifa za mwombaji.
  13. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Ujumbe tunaotakiwa tumpelekee Lowassa na watu wengine wanaofikiri kama yeye ni Kwamba Taasisi ya Urais Haiwezi Kununulika, kwa maana huwezi kuuza moyo wa Utaifa wetu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years

    Ataanzia wapi wakati wanakamati wa safari yake ya Matumaini ni Kina Chenge.... Hebu angalia hii attachment hapo chini.
Back
Top Bottom