Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kuwadi wa Ufisadi

May 27, 2015
27
92
"The fight for justice against corruption is never easy. It never has been and never will be. It exacts a toll on our self, our families, our friends, and especially our children. In the end, I believe, as in our case, the price we pay is well worth holding on to our dignity". Frank Serpico

Hayo maneno hapo juu yamenifanya nifikirie sana tamko la Mzee Kingunge Ngombale Mwiru(KNM), kama alivyokaririwa na gazeti la mwananchi la Jumapili(Makala hii).Na kunikumbusha ukubwa wa tunachokipigania.
Anachokifanya Mzee Kingunge, si kigeni ana cheza na kumbukumbu yetu. Anata kutuaminisha Kingunge wa leo ni yule yule Kingunge wa kipindi cha mwalimu Nyerere. Lakini tuki re-load kidogo tu, ukurasa wetu wa kumbukumbu unakuja na majibu mazuri ambayo, yanatupunguzia wasiwasi wa anacho kifanya Mzee (KNM)

Kingunge wa leo ni nani , Je anafananaje na Mgombea anayempigia debe?

1. Jibu ni ndio. Kama Lowassa alivyopoteza Uwaziri Mkuu kwa UFISADI wa Richmond,Kingunge naye mda mchache tu baada ya Lowassa kutoka kwenye uwaziri mkuu, alipoteza Mrija wake mkuu wa kipato ( Kwenye Parking systems za Dar es salaam).

Andiko hili litajikita kwenye mrija wake mmoja tu, uliokatika pale Ubungo Bus terminal.

Taarifa ya Mkugazuzi wa Hesabu za serekali- ya mwaka wa fedha ulioishia, 30th June, 2009, ilikuwa na haya ya kusema kuhusu kampuni iliyomilikiwa na familia ya Mzee Kingunge.

"A Special Audit conducted at Dar es Salaam City Council was carried out at Ubungo Bus Terminal (UBT) owned by City Council Management. The Audit particularly covered revenue collections generated from the UBT. The brief outcomes are as follows:

• The Dar es Salaam City Council entered into a contract with an Agent M/s Smart Holding Company Limited of DSM to collect revenues on behalf of Dar es Salaam City Council. According to Contract Agreement, the Agent was contracted to pay to the Council Shs.1,500,000 per day as revenue accruing from motor vehicles using the terminal, i.e security provided to Passenger Buses kept over night, parking and entrance fees.

• We carried out the study on the same sources of revenue and the outcome of the study indicated that the average revenue for the described sources was Shs.4,618,629 per day compared to Shs.1,500,000 the Council was getting from the Agent which is far apart.

• We noted existence of unauthorized leasing of the business premises without owner's consent. For example, the lessee paid Shs.130,000 per month as rent to the lessor (the owner) while the lessee received Shs.600,000 per month from unauthorized subleases.

• Total revenue collection for the period from June, 2006 to April, 2008 amounting to Shs.146,692,226 collected by revenue collectors but the same were not banked.

• The Dar es Salaam City Council entered into contract with 100 small vendors to carry out business at Ubungo Bus Terminal

Kwa maneno mengine, Kwenye makusanyo tu, Mzee kingunge alikuwa anapata faida ya Milion 3 kwa siku (3,118,629) au Kipato cha mzee kwa mwezi kilikuwa milioni 90+.

Sasa baada ya huu mrija na mingine inayohusu parking system Kuzibwa Kwanini asiungane na mafisadi wenzie kupinga maamuzi ya chama yenye masilahi mapana ya nchi. Huku akijua akifanikiwa atakula pipi tamu zaidi. Na hiyo ndio bei ya utu wa Mzee Kingunge, tusishangae. Na si kuwadi tu wa UFISADI nay eye ni FISADI.

Kusoma kwa nini Lowassa ni Fisadi na Ushahidi--- bofya hapa

Kusoma Ripoti ya Mkaguzi wa Serekali kuhusu UFISADI wa Familia ya Kingunge ( Page 198-200), Bofya hapa
 
Mzee kingunge kama binadamu naye ana haki ya kupendekeza mgombea anaye mkubali kama wewe,pia ujue yeye ana maono kuliko hata wewe,kwani bila lowasa ccm itakufa kabisa
 
Mzee kingunge kama binadamu naye ana haki ya kupendekeza mgombea anaye mkubali kama wewe,pia ujue yeye ana maono kuliko hata wewe,kwani bila lowasa ccm itakufa kabisa

Upo sahihi kabisa kwamba na yeye anaruhusiwa kuwa na mgombea wake.Tunaweka Record sawa tu kwamba SIO MSAFI.Na huku kwa Lowasa panamfaa.
 
Mzee kingunge kama binadamu naye ana haki ya kupendekeza mgombea anaye mkubali kama wewe,pia ujue yeye ana maono kuliko hata wewe,kwani bila lowasa ccm itakufa kabisa

Kazi ipo kwa akili kama hizi
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Lowasa damn good for CCM not for presidence!

Eeee Mungu wetu.....(mnisaidie kumalizia sala hii)
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Maccm tumbo joto kazi kwenu wenyewe kwa wenyewe hamuelewani....ushauri wa bure msipo mpitisha lowasa mtakuwa mmetoa mwanya mkubwa sana wa kuchukua nchi ukawa kiukweli kwa sasa lowasa ndio habari ya mjini anakubalila kila kona
 
Mimi ni ukawa damu ila nje ya ukawa na msaport lowasa, tofauti na lowasa nchi bora ije kwa wanaume muone kazi zitakavyopigwa nina imani na ukawa kwa asilimia mia moja wataipeleka nchi tunapopataka
 
Naamini saa inakaribia.

Hata hivyo nampongeza Mzee Kingunge kwa msaaada wake....!
 
Back
Top Bottom