Recent content by Mashinda Mtei

  1. M

    GE2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Uwiiiiiiiiii!!! Wananchi wa Karatu wakipiga yowe baada ya mshehereshaji kuchombeza "ccm oye"
  2. M

    GE2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Dr. Slaa akikabidhi fomu kwa Mwenyekiti Mbowe Karatu wakiridhia Dr. Slaa awe mgombea Urais. People's Power! Wana wa Karatu wakiwa wamehamasika. Nyomi kisawasawa uwanja wa Bwawani. (Nimeunganisha picha mbili)
  3. M

    GE2010 Dr Slaa aitikisa Karatu

    Msafara wa Rais Ajae, Dr Slaa, ukitoka uwanja wa ndege Arusha, Burka kuelekea Karatu. Walipofika Makuyuni magari tokea Karatu yaliongezeka kwenye msafara. Walitanda barabarani kumlaki akiingia Karatu. Alisimamishwa mara kwa mara na wananchi wakitaka kumpa mkono wa pongezi...
Back
Top Bottom