Recent content by mashimiflavi

  1. M

    Dk. Meru asipofukuzwa, yatakuwa maajabu ya dunia!

    Mbona umekurupuka , unamjua au ujuha tu
  2. M

    Mikoa 7 kufunga Kampeni za CCM Tanzania

    Mkutano utakuwa wa kuwakaribisha wamasai uchwara toka sehemu za arusha hasa mkoa wa Manyara waliofadhiliwa na Ole sendeka na ccm yake kuja dar kummalisa EL .Mungu yuko nasi hata ieweje wamechelewa kwa hizo propaganda
  3. M

    Tume itoe idadi ya wapigakura waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu nchi nzima

    Imetulia sana . Ni vizuri watoe idadi ya kila kata na vituo vyao tusuje chakachuliwa
  4. M

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    Mmanza kutapata na Pombe za Mchana? Mbona kufuli zote Zimefungwa ? safari hii hakuna pa kutokea Si goli l a mkono wala Penalty hampati
  5. M

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    mtakoma ma ccm mwaka huu endeleeni kutunga uongo
  6. M

    Kikwete, usiwakomoe wanaokaribia kustaafu

    Sio uhamisho tu hata uteuzi wa bodi mbalimbali umekwama ili waeendelee kuchota fedha wafanyakazi sasa hivi wa baadhi ya mashirika ya umma wamepigiga kisa msaada kwa ccm
  7. M

    Wafanyakazi waliosambaza Video ya Dr. Slaa akiingia chumbani Serena Hotel wafukuzwa kazi

    Poleni sana kwa hayo majanga nadhani kuna chama cha wafanyakazi pale CHODAWU waende huko watapata msaada wa kisheria
  8. M

    Mbinu chafu za CCM kuvuruga uchaguzi mdogo wa Madiwani Arusha zafichuka!!!!

    Kama ni ukweli basi Ni wakati sahihi wa kufuta hivi vyama au kuvitosa na tuchague mgombea binafsi kila hatua, Hivi wanadhani bila kuwa uongozini watakufa? Hili ndilo tatizo la kuwa VIHIYO wameona hawawezi kuendelea ktk ajira kwa uvivu wa kujielimisha wakakimbilia siasa KUIFANYA AJIRA YA KUDUMU...
Back
Top Bottom