Recent content by mashauri mashala

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    asante mandwa kwa ushauri mzuri Mungu akubariki
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    kichoi naomba unisaidie ushaur ivi master maana yake nin na je nitawezaje kusoma master wakat cna ata experience je nitasema ninaenda kumaster kitu gan
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    asante sana toccara nitaufanyia kaz ushauri wako
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Nyamgluu nimemalizia IFM
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    patrick usiogope kuhusu kazi ya kodi yan ninaamin wewe ungepata elimu ya kutosha kuhusu kodi na ukawa unaona maendeleo ya kodi iyo nekuwa unainauwakika ungekuwa unachangia sana kodi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    je utajiajir vip bila mtaji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    nashukuru sana nitafanya ivyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    asante kwa ushauri wako Grand nitaufanyia kaz
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    techman asante ila ninaposema tax ninamaana ni maswala ya kodi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Jamani ninatafuta kazi inayohusiana na mambo ya Tax niko tayari kufanya mahali popote, nina Bachelor of Science in Tax Management.
Back
Top Bottom