Kila mwanamke na mapenzi yake hawawezi kufanana wote wala wahawezi kupenda kitu kimoja wote. Kama wanaume vile mlivo wengine wanapenda mademu wanene, wengine wembamba wengine wafupi wengine warefu. We tafuta anaekufaa maisha yaendelee.
Na hii ni mojawapo ya sababu ya kudai haki. Unyanyasaji. Badala ya kuwa kiongozi unatanguliza unyanyasaji mbele. Mungu alikuumba Adam uwe kiongozi sio mnyanyasaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.