Recent content by mashami

  1. mashami

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    shule ya sekondari baraa tuko shwari kwenye foleni vijana tupo wengi
  2. mashami

    Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    acha ushabiki usio na tija angejiteteaje alipovamiwa na maccm wakiwa na mipini na marungu angemtoa mtu utumbo kabisa ili tuheshimiane
  3. mashami

    Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    polisi walipokuja ilikuaje wakaachia hawa jamaa na marungu na mipini wakakimbia na wakati walikua bado hawajasambaa na kuna gari mbili ziliwajaza hawa jamaa voxy na vx zilipita mbele yao??
  4. mashami

    Gari la Lema lashambuliwa na UVCCM - Arusha

    nikiwa ofisini karibu na kitu cha mafuta cha oryx clock tower nimesikia milio ya risasi waliokuwepo ni mbunge lema na wafusi wa ccm,watu hawa wa ccm walikua na marungu, kama kuna mwenye taarifa zaidi atusaidie!!
  5. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    tbl tunaomba muongeze stock ya bia arusha
  6. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kama wewe mgeni hapa meza ya mbunge utaiona tuu ilivyopendeza
  7. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tupo na kamanda tunapiga ngano mpaka kuchee bila wasiwasi
  8. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kuwa [[chadema]] rahaaa sana hapa arusha
  9. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    shangwe zinapigwa hapa bar nzima imezizima
  10. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kamanda lema ameingia hapa millestone bar just now
  11. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    millestone park makamanda tupo tunapongezana
  12. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    millestone a.k.a bar mpya.sakina inahusika saivi
  13. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    caslte lager bariiidiiiiiiiiii hapa lenana nashuhudia kura yangu ya ushindi niliyopiga kimamdolu inafanya arusha kua ngome ya ukombozi wa nchi hii
  14. mashami

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    nimekutana na photo me (watu wa arusha mmamjua) hapa ilboru amesema kazi tayari sasa ni kula burudani
  15. mashami

    Picha: Mwigulu Nchemba atikisa mkutano wa uchaguzi (udiwani) kata ya Kimandolu jijini Arusha

    me naishi kimandolu lakini sijaona mamia ya wananchi au kimandolu ya iramba!?
Back
Top Bottom