Andiko moja lenye kutoa ufahamu wa hali ya juu kabisa kuhusu kadhia ya mafao na kudhulumiwa kwa watumishi wa nchi hii. Asante @TL endelea kutupa darasa kadiri upatapo muda. Mungu akupe afya njema.
wenyewe kina Zenda kazi hawana, baada ya kazi yake ya awali ya udalali wa dada zetu kwa wabunge na mawaziri pale udom saiv anajipitisha tu na takwimu za kupika ili mkono uende kinywani.
mbona mapovu bandugu? Nani kayahusisha na vyama na kama kuna uhusiano wa sihasa na haya matukio tupe taarifa rasmi ili nasi tuwe nazo. Ila ukweli utabaki pale pale approach hii ilitumika kule na pia kwa taarifa za chinichini wale ni mentor wetu saivi so tutashudia mengi mno, yangu macho .
Hali si njema tena.
Kwa wanaoufahamu vyema mto Kagera umeundwa na iyo mito miwili tajwa juu. Miaka ya nyuma kidogo wakati wa mauaji ya kimbari na miaka iliyofata hii mito imegubikwa na kutupwa sana kwa miili ya watu wanaouwawa kwa sababu mbalimbali Bujumbura na Kigali na kubebwa na maji hadi...
Mtandao wao wa ATM nadhani ndio unavunja rekodi za ubovu hapa Afrika mashariki, kuna siku walizingua Mpwapwa zikawa hazina kitu, nkasafiri mpaka dodoma mjini ishu ikawa palepale,lakini nimekuja kushangaa hata jioni unakuta ATM hazina huduma na wafanyakazi wao bila aibu wanaondoka kazini sijui...
Binti mkubwa Dr Slaa aka Dr Mihogo alihitimu UDOM kama 2012 basi 2013 , so kimahesabu huyu mzee alitumia kanisa tu kumpa elimu bure na maisha afu akaruka dirishani akaendelea na mambo yake, anahitaji uponyaji huyu.
Star Tv ndio wamekua biased kabisa hawana taarifa za ya za ccm na juzi baada ya taarifa ya habari walichemka sana kuweka sauti ya mwalimu Nyerere na edited pictures, nategemea rungu la #TCRA liwapitie kwa hili.
Wadau wa jukwaa, wasalaaam.
Hiki ni kipindi cha lala salama kwa utawala wa JK na sio vibaya tukiangalia moja ya mbinu aliyoanza nayo, kulifanyika semina elekezi kwa ngazi nyingi za juu pale Ngurdoto hotel.Katika kujadili hili tuangalie ufanisi na changamoto zilizojitokeza katika utawala wake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.