Safi kabisa.Naona utekelezaji unaenda murua bila nywinywi.Maana tangu aanze kumuondoa Jokate,akina Jenista Mhagama nk,hakuna anayekohoa ndani ya Chama na Serikali.
Mbona kesi imeshakamilika kusikilizwa.Tumewasikia pande zote mbili,tukishuhudia Lissu akiwapelekea moto wa hatari.Kinachofanywa sasa hivi siyo kuwasilisha ushahidi mpya.Ni uchambuzi wa ushahidi uliowasilishwa.Ni kuwarahisishia majaji katika kuandaa hukumu.Kwa hiyo hata hayo mawasilisho...
Paschal,kwenye hili ni vema ukajikumbusha mafundisho ya dini.Kwani amri ya nne inasemaje?
Mimi naamini Sheria za kidunia zilitungwa kwa ushawishi wa kiblia.Ni sahihi kulinganisha amri za Mungu na Katiba ya nchi na amri za kanisa ni mithili ya Sheria za bunge na kanuni zake.
Kwa hiyo Sheria za...
Naunga mkono hoja.A brand new standard Yutong bus starts at an indicative price of $83,500 CIF Dar es Salaam port, according to official details from the Yutong Bus Company Tanzania. Kwa kiwango cha Leo cha kubadilisha pesa hiyo yutong ni sawa na Tsh.219 milioni (2628 x 83500)
Nimegoogle na kupata Bei hii kwa basi mpya la Yutong:: :A brand new standard Yutong bus starts at an indicative price of $83,500 CIF Dar es Salaam port, according to official details from the Yutong Bus Company Tanzania."
Sidhani kama hayo aliyosema ametumwa na Mama.Sisi tunapenda Mama aongeze kipindi kingine .Yeye anasema anamaliza kipindi cha pili.Halafu anajiandaa kuchukua nafasi yake .
Huyu mtu hatufai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.