Recent content by Masawe Fredrick

  1. M

    Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

    SERIKALI KUTOA SIKU MAALUMU YA ELIMU KwA UMMA ILI KUPINGUZA UMASKINI NA UVIVU WA KUFIKIRI hii ni kutokana na watu wengi mitazamo yao ipo nyuma na huwa inategemea serikali iwape feza badala ya kutambua kwamba jukumu la serikali ni kuhakikisha upatikanaji wa huduma za kijamii na ulizinzi ila suala...
  2. M

    Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

    UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA 1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
Back
Top Bottom