Wewe unatakakubisha tu kwa sababu ni mwislamu wenzangu, Mimi sipendi mabishano ya kijinga eti kwa sababu ni mwislamu. This people (Jews) are talented wanafanya vitu extraordinary, ulimwengu unajua. mtoa mada ametoa facts. Si kwamba hakuna waislamu waliofanya vitu pia, lakini you cannot compare...