Recent content by Masau Mujungu

  1. M

    Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    mbio za sakafuni hizo dada yangu na demokrasia makini yako, utabaki kusikia tu m/kiti, unapewa chance badala ya kufanya kazi unarubunika kirahisi hivyo, basi na tusikie kesho ukitangazwa m/kiti wa chama kingine kama ni rahisi hivyo, unajua hadi kufika hapo ulipokuwa ulifanya kazi nzuri sana...
  2. M

    Katika hili, Dr. Slaa anastahili sifa!

    Kwa kuanzia tu, kipenzi cha watu sio mtu apatae kura zaidi ya 80% na baada ya miaka mitano tu zinashuka mpaka 60%, mfana rahisi tu, kama ni darasani ni sawa na mtoto kushuka kielimu toka A+ mpaka B, halafu kumuita kijana wa kidato cha sita mtoto ni makosa, huyu atatuongezea kura kwa Dr. Slaa...
  3. M

    CHADEMA waikosoa hotuba ya Kikwete

    Good observation
Back
Top Bottom