Recent content by Masasem

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

    makubaliano yalikuwa ni kubadilisha mateka na sio kubadilisha mateka kwa kuacha kupigana vita hata hamas wanajua kuwa vita ingeendelea maana kwa makubaliano ni kubadalishana mateka na sio kusimamisha vita
  2. M

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    ni aibu kwa serikali ya tanzania...eti Israel wamesema...we ulidhani Israel watasema kuwa wao ndo wamemuuwa? wangeleta ushahidi kama hamas ndo wameuwa.... Israel wameuwa watoto wangapi kule palestina?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Tunaonya tena kuwa Gaza itageuka makaburi kwa majeshi ya Israel

    HAMAS yaendelea kuitwanga kwa makombora Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni Brigedi za Izzuddin al Qassam, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu HAMAS zimetangaza usiku wa kuamkia leo kwamba umeendelea kuipiga kwa makombora miji ya utawala wa Kizayuni ukiwemo mji mkuu Tel...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Iran: Tunaonya tena kuwa Gaza itageuka makaburi kwa majeshi ya Israel

    kwa mashariki ya kati ni Iran pekee inayoweza kusema na kutekeleza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendelea kutekeleza mauaji ya kimbari huko Gaza Palestina huku asasi zote muhimu za kimataifa likiwemo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zikishindwa kusitisha unyama huo wa Israel.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

    hivi katika utandawazi wa sasa kuna mtu ana shaka na ugaidi wa Israel? hao ndio magaidi alafu wanawasingizia hamasi kwa kuwa vyombo vya media viko kwao?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

    kweli hii?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

    we unajidanganya kusema Israel ni taifa la mungu...taifa la mungu linauwa watu wasio na hatia.. watoto na akina mama wana kosa gani mpaka mnawauwa kiasi hiki
  9. M

    JamiiForums Tanzania Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

    ndio safi sana me nimefurahi sana na bado hawajasema
Back
Top Bottom