Mkuu wa shule ya sekondari Igoma iliyoko jijini Mwanza bwana Bregrey j. Nyakyuma amesemekana kuongoza shule kwa kuwagawanya makundi walimu wake huku akionesha udhaifu mkubwa kwa upande wa walimu wa jinsia ya kike.
Taarifa kutoka shuleni hapo zinaonesha walimu wameonekana kukerwa na tabia na...
sisi wananchi wa igoma ambapo shule hii ya igoma sekondary inapatikana tunaomba afisa elimu wa secondary ajaribu kufuatilia mambo yanayofanywa na mkuu wa shule hiyo husika. mkuu huyu haelewani na walimu wake kiasi cha kuifikia hatua ya kwenda kuwachongea kwa mwajiri ili wakatiwe mishahara. mpaka...
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza bwana bregrey j. nyakyuma hana sifa za kuongoza shule. hii imethibitika wazi kutoka kwa watu wake anaowaongoja. imesemekana kuwa mkuu huyu anaongoza shule kwa ukiritimba mkubwa bila kuzingatia utawala wa kidemokrasia. mfano imesemekana...
mkuu wa shule ya sekondary igoma iliyoko jijini mwanza anaejulikana kwa jina la BREGREY J. NYAKYUMA amechukua jukumu la kwenda kumshitaki mwalimu kwa mwajiri na hatimaye mwalimu huyo kukatiwa mshahara ili kusudi tu afanikishe kuchukua mke wake na huyo mwalimu. taarifa sahihi kutoka shuleni hapo...
walimu wengi wamekaa kimya huku matazamio yao ni mshahara wa mwisho wa mwezi wa saba ambapo ndo serikali hufanya marekebisho ya mishahara.mpaka sasa hakuna mwalimu ambae anautayari wa kufundisha watoto kwa moyo.endapo mshahara huu wa mwisho wa mwezi wa saba hautaonyesha marekebisho yoyote katika...
kwa haraka ukijaribu kuwatizama walimu utangundua kuwa hawana utayari na kufanya kazi ya kuwafundisha watoto kwa moyo na kwa uzalendo.cha kushangaza walimu wamefikia hatua ya kuweka wazi juu ya nini kinachowafanya mpaka wafikie hatua hiyo.ukichukua walimu mia moja karibia wote wanatoa jibu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.