Recent content by Masamakinjiapanda

  1. M

    DOKEZO Wafanyabiashara wa ndizi mbivu Dar huchovya kwenye kemikali ili kuziivisha ndani ya muda mfupi. Afya za watu hatarini

    Sio kweli ndizi huivishwa haraka na parachichi kama huku Rombo wanakata Kata parachichi lililoiva kwenye Tenga la ndizi mbichi Hadi wakifikia Dar zimeshaiva kununua parachichi saa nyingine mbovu au za kuokota mgombani ni rahisi kuliko kununua hizo kemikali ambazo umeshindwa kudhibitisha lingine...
  2. M

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya Barbershop (Kinyozi)

    Funga wifi CCTV camera zinauzwa 60 tu Kariakoo itasaidia kuongea mapato kama unahisi unaibiwa
  3. M

    Tunauza tofali za Mwamba

    Tunapatikana Holili Rombo Kilimanjaro 0682770944
  4. M

    Tunauza tofali za Mwamba

    Tofali za Mwamba ni imara na mara 5 zaidi ya tofali za kawaida zinastahimili magadi na seh korofi kama kwenye maji udongo unaotitia na zinaweza kujengea bila kupiga plasta kwa nje hivyo kuepusha gharama tofali moja Lina vipimo vya inch 5/8/16 au 6/8/16 bei ya tofali ni sh 1000 bila usafiri...
Back
Top Bottom