Recent content by Masai wa ilitepesi

  1. Masai wa ilitepesi

    MSAADA, NORMAL ROUTINE CHECK UP, FULL BLOOD PICTURE NA MEDICAL CHECK UP.

    Niambie tofauti mkuu ili nijue coz nataka kwenda kupima kipimo kimojawapo
  2. Masai wa ilitepesi

    MSAADA, NORMAL ROUTINE CHECK UP, FULL BLOOD PICTURE NA MEDICAL CHECK UP.

    Habari za wakati huu wakuu, poleni na miangaiko ya hapa na pale, kama isemavyo kichwa cha habari hapo juu ni ningependa kujua kama kuna tofauti kati ya hizo vipimo nilivyoandika hapo juu. Na kama kuna tofauti ningependa kujua ni kipi nikienda kupima kitaonyesha magonjwa yote yaliyoko mwilini...
  3. Masai wa ilitepesi

    Nahitaji uchawi wa kununua

    Mungu akurehemu, watu wanapiga vita uchawi halafu wewe ndio kwanza unataka ununue, kama shida za maisha njoo kwa Yesu anamaliza yote
  4. Masai wa ilitepesi

    Nahitaji kushona masikio na kuweka jino moja la bandia.

    Asante kwa ushauri wako, nitafanya hivyo
  5. Masai wa ilitepesi

    Nahitaji kushona masikio na kuweka jino moja la bandia.

    Kwanza habari za wakati huu, Mimi ni kijana kutoka jamii ya kimasai, wazazi wangu walinitoga masikio na kung'oa jino la chini kama mila na desturi za kabila letu. Sasa walinifanya hivyo nikiwa mdogo sana, sasa baada ya kukuwa nikaja kutambua kuwa waliniaribu sana, .1. Je kuna uwezekano wa...
Back
Top Bottom