hta waziri anapswa kkufuata sharia. waziri kafuata sharia kushughulikia suala hilo. Wengi wetu hatujui ofisi za umma zinavyofanya kazi huwei laima ufuata sharia hata kama wewe ni waziri
Hofu yangu ni hii kuwa ikiwa Cdm watapoteza uchaguzi tutakuwa na upinzani? Ebu fikirini CCM madarakani bila chama cha upinzani chanye nguvu. Kwa nini nasema kwa sababu, Cdm nilifika mahalai nikawaona wa maana sana na wakombozi wa nchi hii kutokana na jitihada zao za kupambana na ufisadi, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.