Recent content by mary1990

  1. mary1990

    Neno gani la Kiswahili huwa linakuchanganya kulitamka?

    Kutathmini Tamthilia 🙃
  2. mary1990

    Nini maana ya KUHEPA

    Kulingana na MobiTUKI, hepa ni sawasawa na epa: https://swahili-dictionary.com/swahili-english/epa_hepa Kwa mtazamo wangu, neno la asili lilikuwa hepa (sio kawaida katika Kiswahili mzizi wa kitenzi unaoanza na irabu), ila muda ulivyoenda matamshi "epa" yalikaa vilevile.
  3. mary1990

    'Alligator pepper' na 'bay leaves' kwa Kiswahili zinaitwaje?

    Bay leves ni laurusi, kutokana na kamusi MobiTUKI
  4. mary1990

    Chimbuko la maneno

    1. Tafsiri inatoka kwa Kiarabu fasr, maana "interpret". Mizizi mingi ya Kiarabu ina "ta" mbele (fikr->tafakari, adhim->taadhima, etc) 2. Mawasiliano ni neno la kibantu. Kutoka zizi wasili (kufika, arrive) inatoka wasilia na wasiliana, kwa maana ya "kufika mtu kwa mtu mwingine". Sources...
  5. mary1990

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    WanaJF wote kama wale tunaopenda Kamusi ya TUKI Kiingereza-Kiswahili / Kiswahili-Kiingereza, inapatikana app ya bure inayofanya kazi offline (huhitaji data) kwenye simu na kompyuta za aina zote. Msihangaike tena na PDF ama soft copy hizo za zamani! Pakua/tumia APP YA KAMUSI TUKI HAPA...
  6. mary1990

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    It's usually translated as "adapt" or "modify". In linguistics, when borrowing words from foreign languages, BAKITA uses the term "kutohoa maneno" meaning the adaptations in spelling, class (ngeli) and conjugation (unyambulisho) that are needed in order to use that word. Kwa mfano, neno "store"...
  7. mary1990

    Ni ipi tafsiri ya maneno O-rejeshi na aina za kauli mbalimbali katika lugha ya kiingereza

    They are called relative pronouns in English. Since there are no noun classes (ngeli) in English, they do not change depending on the noun as they do en English, but following the meaning: ataka-ye- kuja: (the one) who will come Ana-cho-pata: which he/she gets Wali-o-fika: (the ones) who/that...
  8. mary1990

    Wataalamu wa lugha ya Kiswahili nisaidieni tafsiri ya haya maneno

    "Sync" ni kifupi cha "synchronize" (kitenzi) ama "synchronization" (nomino). synchronize ingekuwa landanisha na synchronization, mlandanisho, kufuatana na klnX IT Glossary (The Open Swahili Localization Project iliyoendeshwa na Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2009).
  9. mary1990

    Naomba tofauti kati ya Identity, Character and Behavior

    Character inaweza kuwa hulka pia. Haiba kawaida ni kwa mambo chanya, hulka ni general zaidi.
  10. mary1990

    Naomba kuuliza kuna tofauti gani kati ya kupaa na kupalizwa

    Ni sahihi kabisa... niongeze kwamba palizwa ni kinyambuo tendeshwa (paa -> paliza -> palizwa), yaani inamaanisha mtu anawezeshwa kufanya jambo, kama mtaalamu ameeleza.
Back
Top Bottom