Recent content by Mary Swaibu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi supermarket

    Habari jamani, Naitwa Maria Swaibu naishi Dar es Salaam Tanzania, nina umri miaka 25 nahitaji kupata nafasi ya kazi katika supermarket au maduka makubwa elimu yangu nimemaliza diploma miaka miwili course ya Community Development. Nimepita pia mafunzo ya muda mfupi ya Global Mult Practical...
Back
Top Bottom