Mzumbe sio kwamba hawajanichukua hapana.....Bali nimetaka tu kuelewa kwa undani zaidi kuhusu Stemmuco .....Lengo ni kujaribu kufanya comparison ya mambo Fulani
Asante
Ilikua Sakina bar mida ya saa kumi mchizi kashapiga kama chupa kumi... Kalewa kajisahau ni most wanted Nyokaa mchizi wa Unga limited... Vilonga cku hizi vinafanya kazi.....wakapigiwa simu wazee wa kazi.... Wakaibuka na pira lenye chata la chui.... Sema mchizi wangu nyokaa alikua na roho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.