Recent content by Marua Jr

  1. M

    JamiiForums Naomben ushaur

    Kuna binti ambaye tunasoma nae chuo fulani hivi,nilitokea kumpenda sana siku 1 tulipokutana katika hotel fulani hapa Tanzania. Kiukweli nilivutiwa the way alivyo maana dada huyu anajiheshmu sana ikibidi mwanaume nimwage sumu kwa mtoto huyu,dah kwakel nilipata wakati mgumu sana kumpata kwani...
Back
Top Bottom