Husika na kichwa cha habari hapo juu wakuu me ni mvulana nina miaka 21 kuna binti kaniacha bhana ana miaka 19 na kaniacha hatuna hata wiki tayari ana date na mtu mwingine ofcoz sijawahi kusex nae ila roho inaniuma saaana wakuu isitoshe binti nipo nae darasa moja now tupo likizo najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.