Recent content by Martin Ntuli

  1. Martin Ntuli

    Natafuta Part time job/ night shift

    Habari zenu, Nimeona niombe humu kwenye JamiiForums kwasababu najuwa tupo watu wa sehemu tofauti tofauti pia wapo waliobarikiwa kiuwezo na wengine kiupeo. Naombeni connection jamani ya part time job nipo Dar es salaam hata ikiwa night shift pia 0750204294
  2. Martin Ntuli

    Bado ni kama ndoto, mpaka sasa ni miezi 10 tu tangu nimpoteze Mama yangu

    Pole sana kwa hilo katika yote ni kumuomba Mungu.
  3. Martin Ntuli

    Bado ni kama ndoto, mpaka sasa ni miezi 10 tu tangu nimpoteze Mama yangu

    Ni kweli kabisa . ni pigo ambalo halina replacement katika maisha. Najaribu kupotezea ila wapi. Ila yote ni kumuomba Mungu tu.
  4. Martin Ntuli

    Bado ni kama ndoto, mpaka sasa ni miezi 10 tu tangu nimpoteze Mama yangu

    After I permanently lose someone very special, how do I, and should I even try to, keep from falling into despair? Rest in internal peace my lovely Mom. Kweli sio kila anaecheka na wewe anakutakia mema. I really miss my super and lovely Mom.
  5. Martin Ntuli

    Natafuta part time job za jioni kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Age 25, mkazi wa kigamboni. On serious note natafuta kazi za jioni / night shift. Mwenye connection au idea ya sehemu kind naombeni connection ya Kazi. Huku uraiani sio poa mambo ni tight kinoma ni bora kupata mia ukajua umepata kwa jasho lako kuliko kuwa mifuko iliyotoboka. Asanteni.
Back
Top Bottom