Recent content by Martin Hamza

  1. M

    Wanafunzi kufukuzwa kusoma somo la chemistry ilhali wamepata grade "C na D"

    katika shule ya secondary Kanoge iliyopo wilayani Nsimbo mkoani KATAVI Kuna tatizo la mwalimu wa somo la chemistry kuwatoa wanafuzi kwenye somo analofundisha akidai yeye anahitaji wanafunz atakao wafu Disha table teach mfano wanafunz WALIOPO kidato Cha nne mwaka 2024 hawafiki hata15 wengi wao...
  2. M

    Wanafunzi kufukuzwa kusoma somo la chemistry ilhali wamepata grade "C na D"

    Naomba wadau wa Jamiiforums waweze kufatilia uovu unaofanywa na mwalimu mmoja katika shule ya secondary Kanoge ambayo ipo wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwani katika shule hiyo kuna mwalimu wa somo la Chemistry pia ni mwalimu wa nidhamu. Ana tabia ya kukataza wanafunzi wasisome somo la...
Back
Top Bottom