Recent content by martialmtata

  1. martialmtata

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu dear Tanzania

    Tanzania ni nchi inayodondoshwa na wananchi ni vile tu lawama tumeamua kumpa Rais. Yes katiba imempa mamlaka makubwa sanaa rais lakini nchi haiwezi kuendeshwa wala kujengwa na mtu mmoja labda uwe dikteta. kwa mifumo ya kidemokrasia ni ngumu Sanaa Wananchi wengi wamekosa accountability. Nenda...
  2. martialmtata

    JamiiForums Tanzania Chawa wa Mama wamemgeuka Salim Kikeke; wamempora nafasi yake wamempa Mobhare Matinyi

    Kwaio kilichompelekaga BBC mwanzo kilikuaga nini?
  3. martialmtata

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora ni kitendawili kinachojibiwa na Katiba Mpya?

    Jibu kwangu ni hapana, kwangu naona Tanzania haihitaji katiba mpya sio kwasababu katiba ya sasa hivi ni nzuri hapana. Kuna kitu nahisi Bado hakipo sawa kwanza tujikumbushe kuwa katiba na sheria za nchi zinalindwa na wananchi pamoja na watawala kwa mtazamo wangu ukiacha muhimili wa bunge mahakama...
Back
Top Bottom