for sure iwill fight till death for wssira kwakweli ukiacha hoja za kishabiki wasira ni kiongozi mzuri na muadilifu wewe unayezungumzia sura bado huna uchungu na taifa hili
wapendwa msipoamini maneno yangu hata neno la mungu basi mtakuwa hamuamini kwa kifupi ni kwamba akili za kuambiwa changanya na zako.. mzee wasira ndiye anayeandaliwa kumrithi kiwete na ukijaribu kuchunguza kwa umakini utaona kuwa mh wasira amekuwa chachu kubwa kwa prof kikwete kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.