Pamoja na hayo yote ni vizuri to solve these differences diplomatically wala sio kuwavua vyeo maana kwa sasa mambo yanavyoonesha ni kama Zitto ana watu ambao ni supporters na wako ndani ya chama.sasa ccm hiyo ndo furaha kwao kumbuka kuna kauli raisi aliwahi kuisema kwamba Zitto ni kijana wake...
Chadema sasa wamekwisha coz they are supposed to solve their differences diplomatically and not just expelling their fellows. This will cost them a lot.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.