Recent content by Markov

  1. M

    Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

    Limepita Arusha pia kama saa 12dk 7.....ingawaje dogo
  2. M

    Msaada: Usaili Halmashauri ya jiji Arusha na Jiji la Mbeya

    Mbeya bado hadi wiki ijayo ndio watatoa
  3. M

    Wazo: TANESCO na mamlaka ya maji safi/taka ziwe chini ya Halmashauri za miji

    Hii nayo ni solution nzuri pia. Baada ya hapo kazi iwe ni ya usimamizi lakini wingi wa taasisi za Serikali ambazo zinashughulikia mambo yanayoendana (hasa ya miundombinu) bado naona ni tatizo na ndio coordination inapotea hapo, ndio maana nikaona wewe chini ya mwamvuli mmoja tu wa Halmashauri
  4. M

    Wazo: TANESCO na mamlaka ya maji safi/taka ziwe chini ya Halmashauri za miji

    Nadhani zinahitaji maboresho tu. Ugumu wa usimamizi ni kama ulivyoeleza,chemba za maji machafu ziko chini ya mamlaka ya Maji. Suala la usafi linahitaji ushiriki wa pamoja, Halmashauri na wananchi kwa Pamoja.
  5. M

    Wazo: TANESCO na mamlaka ya maji safi/taka ziwe chini ya Halmashauri za miji

    Imekuwa ni kawaida kuzungumzia matatizo ya Umeme na Maji nchini kila Mwaka Bila kuwa na ufumbuzi sahihi zaidi ya kaambiwa nguzo zimewekwa sehemu fulani Au mabomba yametandazwa umbali kadhaa huku tukielewa kinachotakiwa ni umeme wa uhakika (Sio wingi wa nguzo) na maji salama muda wote (Sio urefu...
Back
Top Bottom