Recent content by Mark issa

  1. M

    NMB badilikeni

    Imekuwa kawaida watu kukaa kwenye foleni pasipo sababu za msingi, katika hili mnatukwaza wateja wenu. Bank ina madirisha yakutolea huduma hata 4 lakini unakuta hakuna dirisha hata moja linalofanya kazi na wakijitahidi sana ni dirisha moja ndio utakuta linafanya kazi. Badilikeni katika hili, hii...
  2. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Njoo nikuuzie kwa elfu saba
  3. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Namba ya simu nimeweka, picha nimeweka, eneo kuku walipo nimeeleza* lkn bado mtu anauliza maswali yakijinga*
  4. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Hao njaa tu hakuna lolote, wangekuwa wanunuzi ningewajibu.
  5. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Kwahiyo nikikujibu hili swali ndio utanunua hao kuku?
  6. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Nimekupa option njoo uwaone gongo là mboto lkn unaendelea kubisha tu
  7. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Chakula cha kawaida nawapa mara tatu kwa siku
  8. M

    Njoo na milioni 2 laki moja nikuachie kuku wa kienyeji 230

    Mim ndiye mfugaji na mmiliki kuku hao wana miezi miwili na wiki mbili trh 21/8 wanatimiza miezi mitatu Karibu
Back
Top Bottom